Wafanyabiashara wa miraa katika soko la Kongowea wateta

Описание к видео Wafanyabiashara wa miraa katika soko la Kongowea wateta

Wafanyabiashara wa miraa katika soko la kongowea Mjini Mombasa wamelalamikia ongezeko la Ada ya kuuza bidhaa hiyo sokoni. Ongezeko la Ada limeathiri pia bei na huku nzige wakivamia baadhi ya mmea huo huko Meru na Embu uhaba wa miraa huenda ukasababisha bei kupanda zaidi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке