Waandamanaji wavamia bunge la kitaifa

Описание к видео Waandamanaji wavamia bunge la kitaifa

Hali ya mshike mshike katikati mwa jiji la Nairobi ilishuhudia polisi wakizidiwa nguvu na waandamanaji waliovunja vizuizi vyote vya kuelekea majengo ya bunge, wakavunja ua wa bunge na kuingia katika majengo hayo. Waandamanaji hao waliharibu vifaa katika baadhi ya maeneo ya majengo hayo, wakafika ndani ya bunge na kuwafanya wabunge kukikimbilia usalama wao. Giverson Maina na taarifa hiyo.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/


#kbcchannel1 #news #kbclive

Комментарии

Информация по комментариям в разработке