FULL VIDEO: TUKIO LA KUSIMIKWA CHIFU ADAM ABDUL ADAM SAPI II MKWAWA MWAMUYINGA.

Описание к видео FULL VIDEO: TUKIO LA KUSIMIKWA CHIFU ADAM ABDUL ADAM SAPI II MKWAWA MWAMUYINGA.

#fuvulamkwawa #chiefmkwawa



CHIFU ADAM ABDUL ADAM SAPI II MKWAWA MWAMUYINGA

Ni mtoto wa tano kuzaliwa katika familia ya watoto watano

Mama yake anaitwa Shamra Abdul Mkwawa

Ni mtoto wa kiume wa pekee

Alizaliwa Mwaka 2001 tarehe 10 mwezi wa 8 katika Hospitali ya Mkoa Iringa

Kwa Sasa anatarajia kujiunga na masomo yake kwa ujuzi wa Software engineering ngazi ya Diploma huko Malaysia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке