NDOVU NI KUU - NDOVU KUU JAMMING SESSION (SKIZA CODE 8089371)

Описание к видео NDOVU NI KUU - NDOVU KUU JAMMING SESSION (SKIZA CODE 8089371)

#Ndovukuu #Krispah #KUchallenge #Pamela

Official Video Dropping Soon,,Share & Vibe

Lyrics 🎤

Ndovu ni Kuu
Ah Ah Ah Ah
Na Itabidi wanijue
Ah Ah Ah
Basi Weka Mkono Juu
Ah Ah Ah
Yes You,
Ah Ah Ah,
You...

Vile na Bambam
Polisi Wana Ubaya
Dame Yako Vile Mahanjam
Namimi Sina Ubaya
Kosea Uniite Handsome Husikii Hizo Ni Hekaya
Felicia na Lisa
Hivo Ndo Mi Niliwa Acquire
Cheki
Tulikuwa Na Pamela Shule Moja Ndani ya Kwaya
Siku Hizi Vile Anameza Mara Moja Utagwaya
Na Anaringia Sana Flat Tummy Hana Taya
Ako Na Kila Kitu Kitu Hanaga Ni Haya

Mtoto Wangu Akiitwa KU Ntakataa
Hakunaga masomo KU Nimekataa
Unapeleka Mtoi First Year Introduction
Baada Ya Wiki Mbili Ashajua Reproduction

Ndovu ni Kuu
Ah Ah Ah Ah
Na Itabidi wanijue
Ah Ah Ah
Basi Weka Mkono Juu
Ah Ah Ah
Yes You,
Ah Ah Ah,
You..

Комментарии

Информация по комментариям в разработке