Ng'ombe 400 wakamatwa mnadani Tabora

Описание к видео Ng'ombe 400 wakamatwa mnadani Tabora

Zaidi ya Ng'ombe 400 wamekamatwa wakiwa maeneo yanayouzunguuka mnada wa kuuzia mifugo Manispaa ya Tabora kufuatia madai kwamba wamiliki wa ng'ombe hao wamekiuka sheria ndogo za Manispaa kwa kuacha ng'ombe hao kuzagaa eneo hilo na hivyo kutakiwa kulipa faini ya shilingi elfu 50 kwa kila ng'ombe mmoja jambo ambalo wafanyabiashara hao wamelilalamikia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке