Wezi wazua gumzo Tabora, ‘wabandua’ marumaru makaburini

Описание к видео Wezi wazua gumzo Tabora, ‘wabandua’ marumaru makaburini

Imezuka tabia kwa baadhi ya watu huko Tabora mjini ya kwenda kuiba ‘marumaru’ zilizojengewa kwenye makaburi hali ambayo imezua gumzo na kupelekea baadhi ya viongozi wa dini kulaani vikali.

#AzamTVUpdates

Комментарии

Информация по комментариям в разработке