BARABARA YA BUHIGWE - KASULU (KM.35) KUKAMILIKA KWA LAMI, "TUTARUHUSU MAGARI KUPITA" - PROF. MBARAWA

Описание к видео BARABARA YA BUHIGWE - KASULU (KM.35) KUKAMILIKA KWA LAMI, "TUTARUHUSU MAGARI KUPITA" - PROF. MBARAWA

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amemtaka Meneja
wa Wakala Barabara Nchini (TANROADS) Mkoa wa Kigoma kuhakikisha
barabara ya Kasulu-Buhigwe- Manyovu yenye urefu wa kilomita 56 Sehemu ya Kasulu hadi Buhigwe KM 35 inakamilika kwa kiwango cha lami ifikapo Oktoba mwaka huu.

Barabara hiyo ambayo ni sehemu ya Barabara ya Kabingo-Kasulu hadi
Manyovu yenye urefu wa Kilomita 260. 6 inatarajiwa kuufungua na
kuunganisha mkoa wa Kigoma na Kagera kwa barabara ya lami na hivyo
kuchochea shughuli za kilimo, biashara na uwezekezaji katika ukanda wa
magharibi mwa Tanzania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке