UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA

Описание к видео UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA, BADO MITA 2 DARAJA KUUNGANISHWA

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja lote liweze kuunganishwa.

Ameeleza hayo leo tarehe 17 Septemba 2024 mkoani Mwanza wakati akikagua Ujenzi wa daraja hilo unaoenda sambamba na ujenzi wa barabara unganishi zenye jumla ya kilometa 1.66 upande wa Kigongo na Busisi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке