VITASA | Juma Choki alivyomchapa Salum Chamaza wa Malawi kwa KO | Usiku wa Mabingwa 26/12/2021

Описание к видео VITASA | Juma Choki alivyomchapa Salum Chamaza wa Malawi kwa KO | Usiku wa Mabingwa 26/12/2021

USIKU WA VITASA: Tazama pambano zima Juma Choki akimchakaza Mmalawi, Salum Chamaza kwa KO raundi ya tatu na kuvikwa tena taji la #KingOfTheRing

Ni moja kati mapambano ya utangulizi kuelekea pambano kuu la usiku huu kati ya Mtanzania Selemanj Kidunda dhidi ya Tshimanga Katompa wa DRC.

#BoxingOnBoxingDay2021 #VitasaNight #UsikuWaVitasa #NightOfChampions #UsikuWaMabingwa #Vitasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке