VITASA | Jose Hernandez vs Juma Choki | Mo Boxing 30/09/2022

Описание к видео VITASA | Jose Hernandez vs Juma Choki | Mo Boxing 30/09/2022

Tazama raundi nane za Mtanzania Juma Choki akimtandika kwa pointi Jose Hernandez kutoka nchini Mexico.

Ni katika #UsikuWaVitasa #MoBoxing kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Septemba 30, 2022 likiwa ni pambano la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Ibra Class vs Alan Pina.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке