Waziri Mkuu Majaliwa aagiza milango yote ibadilishwe Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. – Ruvuma.

Описание к видео Waziri Mkuu Majaliwa aagiza milango yote ibadilishwe Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. – Ruvuma.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo na kusema Serikali haiwezi kukaa kimya wakati baadhi ya watumishi wakifanya vitendo vya hovyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке