Historia ya mapembe ya Mombasa

Описание к видео Historia ya mapembe ya Mombasa

Eneo la Mapembeni katikati mwa Jiji la Mombasa ni mojawapo ya maeneo yanayotoa taswira na mandhari ya Pwani kwa wanaozuru mji huo wa Kitalii. Na japo wengi wanaofika pale hutaka kupiga picha kuashirikia kufika mwambaoni, wengi hawana ufahamu kuhusu historia ya mapembe haya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке