KISIWA- BUMBIRE Ep 1:NAHODHA ASIMULIA ALIVYOPOTEA ZIWANI/ WATAALAM WA KILIMO WACHANGAMKIE FURSA..

Описание к видео KISIWA- BUMBIRE Ep 1:NAHODHA ASIMULIA ALIVYOPOTEA ZIWANI/ WATAALAM WA KILIMO WACHANGAMKIE FURSA..

Ni moja kati ya visiwa 9 vinavyopatikana katika Kisiwa cha Bumbire Wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera . Bumbire ni Kisiwa chenye vivutio vingi sana kisiwani humo .. Karibu sasa utazame sehemu hii ya kwanza ya makala hii, na sehemu ya pili utafahamu Kisiwa ambacho wanawake walikuwa hawafiki.


www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
#Utaliiwandani
@Tanzania Tourism

Комментарии

Информация по комментариям в разработке