Kisiwa Bumbire Ep2: Fahamu kisiwa ambacho wanawake walikuwa hawafiki/Mkazi & Katekista wasimulia

Описание к видео Kisiwa Bumbire Ep2: Fahamu kisiwa ambacho wanawake walikuwa hawafiki/Mkazi & Katekista wasimulia

Ni sehemu ya pili na ya mwisho ya makala hii maalum ya Kisiwa cha Bumbire kinachopatikana katika Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, katika makala hii utafahamu kisiwa ambacho wanawake walikuwa hawafiki kwa miaka ya hivi karibuni.. Unaweza kutazama sehemu ya kwanza ya makala hii kupitia,
Sehemu ya Kwanza. Kisiwa cha Bumbire 👇
   • KISIWA- BUMBIRE Ep 1:NAHODHA ASIMULIA...  

www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Комментарии

Информация по комментариям в разработке