RC MWANRI AIBUKIA TARURA,AMBANA MRATIBU "NILETEE WOTE SIWEZI KUCHAPA KABURI"

Описание к видео RC MWANRI AIBUKIA TARURA,AMBANA MRATIBU "NILETEE WOTE SIWEZI KUCHAPA KABURI"

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amemuagiza mratibu wa TARURA mkoa wa Tabora kumpatia orodha ya wataalamu waliosimamia ujenzi wa barabara chini ya kiwango kati ya mwaka 2012/13 wakati huo zikiwa chini ya Halmashauri baada ya kudhuru katika baadhi ya barabara zilizo chini ya mamlaka hiyo na kubaini mapugufu yaliyofanyika wakati wa ujenzi

"Waliofanya mambo haya wanaweza wakawa katika system yetu na kama yuko Masasi nitamuomba Mheshiwa Jafo aniletee na kama amekufa basi maana siwezi kuchapa kaburi"RC MWANRI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке