CALISTA - SIMULIZI FUPI

Описание к видео CALISTA - SIMULIZI FUPI

Kwenye kuchunguza chunguza ndo nikajua ana Mahusiano na uyo Jamaa ambae ndo anamhudumia, sema jamaa mwenyewe yupo Dar. Wanakaa mbali mbali.

Sasa kuna siku jioni nilikua nimekaa zangu na cheki cheki video tiktok, akaja Gladies na rafiki yake anaitwa Halima.
Gladies akaniambia inabidi nisafiri niende Dar nikaishi na mpenzi wake aitwae Calson kwa lengo la kumchunguza. lakini sasa nilishindwa nilichoagizwa kwa Calson

Комментарии

Информация по комментариям в разработке