Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-12-05
  • 302011
Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.
  • ok logo

Скачать Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

Kumekuwa na imani nyingi kuhusu Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike katika Mimba Changa na Akina mama wengi wajawazito wanakuwa na shauku kubwa kujua jinsia za watoto wao waliopo tumboni mapema kabla ya kujifungua.

📌Kwa hizo imani kama una watoto mapacha dalili za Mama Mjamzito zitakuwaje 😆😆😆😆???

Mojawapo ya imani hizo ni kama;

1. Mimba ya Kike huwepo endapo Mama mjamzito akiwa na dalili za kutapika au kichefu chefu ahsubuhi Zaidi na kinyume chake huwa ni Mtoto wa Kiume.

✅Comment yangu; Hakuna ukweli wa kisayansi kuhusu hili kwani dalili za kutapika huathiriwa na mabadiliko ya homoni na pia huweza kusababishwa na shida nyingine kama Gestational Trophoblastic Diseases ambapo Mama ana weza tapika sana na akahisi mtoto wa kike kumbe siyo mtoto kabisa!

2. Tumbo la Mama Mjamzito mwenye Mtoto wa Kike Tumbo huwa juu zaidi na hii kinyume na Mtoto wa Kiume ambapo Tumbo huwa chini zaidi.

✅Comment yangu; Hakuna ukweli wa Kisayansi kwani mkao wa tumbo huathiriwa na maumbile ya mfuko wa uzazi wa Mama husika na hutofautiana kati ya Mama mmoja na mwingine.

3. Mama Mjamzito mwenye Mtoto wa Kike tumboni mabadiliko ya mood huwa ni zaidi kuliko yule mwenye Mtoto wa Kiume ambapo huwa ana mabadiliko ya Mood kidogo tuu.

✅Comment yangu; Hakuna ukweli wa kisayansi kwani mabadiliko ya Mood huathiriwa na mabadiliko ya homoni na siyo Jinsia ya mtoto.

4.Mama mwenye Mtoto wa Kike Tumboni hupendelea kula vyakula vitamu Kama chocolate, Pipi wakati mwenye Mtoto wa Kiume hupendelea vyakula vichungu kama ukwaju,Ndimu mbichi na Nyanya chungu tofauti.

✅Comment yangu: Hakuna ukweli kwani mabadiliko ya radha huathiriwa na mabadiliko ya homoni na siyo jinsia ya Mtoto wa Kiume au Kike.

5. Mama mjamzito mwenye mtoto wa Kike huwa na chunusi na madoa madoa usoni wakati Mtoto wa Kiume Mama huwa Mzuri katika ngozi yake.

✅Comment yangu: Hakuna ukweli wa kisayansi kwani mabadiliko ya ngozi huathiriwa na mabadiliko ya homoni na siyo jinsia za watoto.

6.Mama mwenye mtoto wa Kike Tumboni mapigo ya Moyo ya mtoto huwa zaidi ya 140Bpm ukilinganisha na yule wa Kiume ambapo huwa chini ya 140Bpm.

✅Comment yangu: Hakuna ukweli kwani mapigo ya Moyo ya mtoto huathiriwa na vitu vingi na siyo jinsia ya mtoto.

Kwa hizo imani je kama una watoto mapacha je itakuwaje😆😆😆😆😆😆😆?

✅UKWELI WA KISAYANSI✅
❤️Unataka kujua jinsia ya mwanao hakikisha ukifikisha wiki 20 kwenda juu(miezi 5) yaa ujauzito, uende hospitali na ufanyiwe ultrasound hiyo itakuonesha jinsia ya Mtoto wako kwa uhakika Lakini hutegemea zaidi mtalamu wa Ultrasound na Mkao wa Mtoto Tumboni mwa Mjamzito.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...
©Dr.Mwanyika
#drmwanyika
#mamaafya
#MtotowaKike

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    2 года назад
  • DAKTARI AFICHUA SIKU SAHIHI KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME/KIKE NA MAPACHA....
    DAKTARI AFICHUA SIKU SAHIHI KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME/KIKE NA MAPACHA....
    1 год назад
  • Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    4 года назад
  • MABANGO AVAMIA INTERVIEW YA ISHA MASHAUZI, APIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA / ISHA ASUSIA INTERVIEW
    MABANGO AVAMIA INTERVIEW YA ISHA MASHAUZI, APIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA / ISHA ASUSIA INTERVIEW
    1 год назад
  • Удар США по Кремлю / Резкая реакция Москвы
    Удар США по Кремлю / Резкая реакция Москвы
    11 часов назад
  • Sikiliza: Mstari WA Mimba Kwa Mjamzito Una Maana Ipi?
    Sikiliza: Mstari WA Mimba Kwa Mjamzito Una Maana Ipi?
    1 год назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    4 месяца назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    5 месяцев назад
  • JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.
    4 года назад
  • Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
    Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
    3 года назад
  • ALIMWALIKA MKE WAKE WA ZAMANI ASIYEZAA KWENYE HARUSI YAKE KUMUAIBISHA, ILA  AKAJA NA MAPACHA WATATU
    ALIMWALIKA MKE WAKE WA ZAMANI ASIYEZAA KWENYE HARUSI YAKE KUMUAIBISHA, ILA AKAJA NA MAPACHA WATATU
    4 месяца назад
  • Wiki Ya 41 Hakuna UCHUNGU Fanya Hivi Ili Ujifungue Salama! | Mimba Ya Wiki 41 AU zaidi!!
    Wiki Ya 41 Hakuna UCHUNGU Fanya Hivi Ili Ujifungue Salama! | Mimba Ya Wiki 41 AU zaidi!!
    7 месяцев назад
  • Dalili 13 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 4 AU Wiki 16 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 16
    Dalili 13 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 4 AU Wiki 16 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 16
    2 года назад
  • Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?.
    Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?.
    4 года назад
  • Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.
    4 года назад
  • Alimkana Mama yake masikini siku ya Harusi yake ILI Amuoe mwanamke tajiri...
    Alimkana Mama yake masikini siku ya Harusi yake ILI Amuoe mwanamke tajiri...
    4 месяца назад
  • HUYU NI NANI? \ episode 28 \
    HUYU NI NANI? \ episode 28 \
    1 час назад
  • MAZOEZI YA WANAWAKE WAJAWAZITO
    MAZOEZI YA WANAWAKE WAJAWAZITO
    4 года назад
  • НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    НАКОНЕЦ ОН ПРИЗНАЛСЯ, ЧТО СПРЯТАЛ ГУЛЮ ПОД ЗЕМЛЕЙ.НА КЛАДБИЩЕ ДОМАШНИХ ЖИВОТНЫХ.
    22 часа назад
  • Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация
    Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация
    1 год назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com