K4s SECURITY GROUP || MOIMARATHON || MsimuWaTatu.

Описание к видео K4s SECURITY GROUP || MOIMARATHON || MsimuWaTatu.

Utulivu na Amani umeletwa nasi, tumekula kiapo cha Kuilinda, Kusaidia na Kuihudumia Jamii ya Watanzania.
.
Tumeshirikiana na Taasisi Ya Tiba Ya Mifupa Muhimbili MOI kwa kuendesha mbio fupi za Moi Marathon msimu wa tatu kwa lengo la kusaidia walemavu 100 wenye uhitaji wa miguu bandia yaliyofanyika katika viwanja vya MUHAS.
.
Sisi Tupo na jamii na tutashirikiana na Taasisi za Serikali na Binafsi katika juhudi za kuisaidia jamii yetu.

Kwa huduma bora za ulinzi, tupigie;
☎️ 0767 622226
☎️ 0757 366662
☎️ 0769 800008
.
#YourTrustedSecurityPartner
#MoiMarathonMsimuWa3
#TusaidieWalemavu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке