USISUBIRI KUAJIRIWA, WAKILI WA MAHAKAMA KUU ATOA DONDOO ZA UFUGAJI

Описание к видео USISUBIRI KUAJIRIWA, WAKILI WA MAHAKAMA KUU ATOA DONDOO ZA UFUGAJI

Ufugaji unalipa! Frank Mushi, mmiliki wa Frank Farms ambae pia ni wakili wa mahakama kuu, amezungumza na BizTV kuhusu ujasiriamali wa kilimo cha ufugaji.

Yaliyomo:
0:00 Mwanzo
1:28 Kwanini kilimo?
2:01 Wazo la kilimo lilianzaje?
3:27 Ulianza lini ufugaji?
5:00 Unagawaje muda wako?
7:47 Aina za kuku
11:30 Gharama za ufugaji
13:50 Changamoto ya kwanza
14:43 Changamoto ya pili
15:53 Changamoto ya tatu
17:30 Wateja wanapatikanaje?
20:27 Nifanyeje ili nianze ujasiriamali?
28:02 Jinsi ya kuwasiliana na Frank Farms

Комментарии

Информация по комментариям в разработке