FUGA KUKU KWA KEJI ZA MABAO,KEJI ZA BEI RAHISI UBORA NI ULEULE

Описание к видео FUGA KUKU KWA KEJI ZA MABAO,KEJI ZA BEI RAHISI UBORA NI ULEULE

TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED
karibu kwetu uweze kutajirika na ufugaji wa kuku kwa kutumia keji/cages za mbao. keji hizi ni keji za bei nafuu pia ni nzuri kwa kuanzia mradi wa ufugaji wa kuku hasa kwa wale wenye mtaji kidogo.
karibu ofisini kwetu uweze kujifunza mengi zaidi.
tunapatikana ilala machinga complex ama waweza wasiliana nasi kwa 071459056

Комментарии

Информация по комментариям в разработке