ALBERT CHALAMILA MKUU MPYA wa MKOA wa DAR AMEPANDA, AKASHUKA, AKAPANDA na SASA AMEPANDA TENA...

Описание к видео ALBERT CHALAMILA MKUU MPYA wa MKOA wa DAR AMEPANDA, AKASHUKA, AKAPANDA na SASA AMEPANDA TENA...

ALBERT CHALAMILA MKUU MPYA wa MKOA wa DAR AMEPANDA, AKASHUKA, AKAPANDA na SASA AMEPANDA TENA...

Mei 15, 2023 ni siku nyingine njema ambayo inamshuhudia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera akipanda tena ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anafanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akichukua nafasi ya Amos Makalla ambaye yeye anahamishiwa mkoani Mwanza.

Rais Samia anaonekana kumuamini kwa mara nyingine hasa katika kipindi ambacho kuna sekeseke la mgomo wa wafanyabishara wa soko la kimataifa la Kariakoo la Dar es Salaam.
Mbali na kuongoza Mkoa wa Dar es Salaam na Kagera, Chalamila aliwahi kuwa Mkuu wa Mbeya kisha akahamishiwa Mkoa wa Mwanza ambapo alishuka baada ya kutenguliwa na Rais Samia kabla ya kumrejesha tena kama Mkuu wa Mkoa wa Kagera.



⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке