EXCLUSIVE: Kwa Mara ya Kwanza Babu Seya Afunguka Haya...

Описание к видео EXCLUSIVE: Kwa Mara ya Kwanza Babu Seya Afunguka Haya...

Subscribe    / uwazi1  
EXCLUSIVE: Kwa Mara ya Kwanza Babu Seya Aelezea Haya....
NGULI wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu waachiwe huru Desemba 9 kwa msamaha wa Rais John Magufuli wamezungumza.

Mahojiano hayo yamefanyika kwenye mkesha wa Mwaka Mpya ambapo mwandishi wa Kampuni ya Global Publishers Elvan Stambuli pamoja na wanahabari wengine wamepata fursa ya kuzungumza na kuwahoji wasanii hao.
FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке