Viongozi wachanga wa ODM wakubaliana na hatua ya Raila kufanya mazungumzo nya uwiano

Описание к видео Viongozi wachanga wa ODM wakubaliana na hatua ya Raila kufanya mazungumzo nya uwiano

Viongozi wachanga wa ODM wamekubaliana na hatua ya kinara wa azimio raila odinga kufanya mazungumzo ya uwiano. Mdahalo huo unalenga kushughulikia masuala muhimu ya vijana wa Gen-Z. Vijana hao wanasisitiza kuwa Raila hana ubinafsi na ana maslahi ya Wakenya moyoni. Wanashikilia kuwa mazungumzo ndio mpango mwafaka zaidi wa kutatua tatizo la vijana na Wakenya kwa ujumla.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке