Wakaazi wa Nairobi watoa maoni kwenye maeneobunge kuhusiana na hoja ya kumtimua Gachagua ofisini

Описание к видео Wakaazi wa Nairobi watoa maoni kwenye maeneobunge kuhusiana na hoja ya kumtimua Gachagua ofisini

Katika Kaunti Ya Nairobi Wabunge Wa Westlands Na Dagoretti North Walifika Katika Ofisi Zao Ambako Zoezi La Kukusanya Maoni Ya Kumtimua Naibu Wa Rais Ofisini Liliendelea Na Kuwahimiza Wananchi Kutoa Maoni Yao Wakisema Yatawapa Mwongozo Wa Kupiga Kura Siku Ya Jumanne. Na Kama Mwanahabari Wetu Gatete Njoroge Anavyoarifu Wananchi Walitofautiana Kuhusu Mjadala Huo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке