Biryani ya Kuku wa Kienyeji. Hujui Kupika Biryani? Hutakaa uteseke tena baada ya Video hii

Описание к видео Biryani ya Kuku wa Kienyeji. Hujui Kupika Biryani? Hutakaa uteseke tena baada ya Video hii

KUCHEMSHA NYAMA.
Swaumu na Tangawizi 1tbsp
chumvi 1tsp
kitunguu maji 1

ROJO / MAHITAJI
Nyama ya kuku Kg 1
Nyanya 8
Tomato Paste Pakt 1
vitunguu maji 6
Yogurt isiyo na ladha au Maziwa mgando kikombe 1
Gillilan ya Majani bunch 2
garama Masala 1tsp
Binzari nyembamba 1tsp
Pilpil Manga 1/2tsp
Garama Masala 1tsp
gilgilan ya unga tsp
biryani Masala 1tsp
chumvi 1/2 tsp
Swaumu

WALI WA
Mchele 1kg
mdalasini 1
star Annice 1
rangi ya Orange kiasi
chumvu 1tsp
mafuta 3tbsp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке