Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jomaisi Khalisia akamatwa

Описание к видео Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware Collins Jomaisi Khalisia akamatwa

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu tisa ambao miili yao ilipatikana katika eneo la Kware huko Mukuru kwa Njenga,amekiri kuwauwa watu 42. mshukiwa huyo Collins Jomaisi Khalisia mwenye umri wa miaka 33 alikamatwa na maafisa wa upelelezi wa jinai katika mtaa wa Kayole hapa jijini Nairobi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке