HARAMBEE YA USHARIKA WA MAGADINI tarehe 14/7/2024

Описание к видео HARAMBEE YA USHARIKA WA MAGADINI tarehe 14/7/2024

Mch. Andrew Munisi (Katibu wa Uwakili DK) zaburi 100, zaburi hii iliimbwa katika ibada (Ekalu) na waisrael wakiwa wanatoa sadaka. Kuheshimu na Kuthamini Ekalu. Walijua wanapokwenda ibadani wanaenda kukutana na Mungu. Hivyo walijiaandaa kwa kutoa shukrani kwa vile ambavyo Mungu amewakirimia kama Kondoo, Mbuzi nk. safari ilikua ndefu kwenda Ekaluni walitoa sadaka katika vitendo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке