Tazama Bwana Tunakuja Kwako Leo - Deo Kalolela | Sauti Tamu Melodies || Sadaka na matoleo

Описание к видео Tazama Bwana Tunakuja Kwako Leo - Deo Kalolela | Sauti Tamu Melodies || Sadaka na matoleo

Tazama Bwana tunakuja kwako leo, twaleta sadaka yetu mbele yako, tunakuomba Mungu Baba pokea

umetungwa na Deo Kalolela
umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
waimbaji ni Sauti Tamu Melodies

furahia nyimbo zetu humu kama Nikupe Nini Mungu wangu, nitakwenda mimi mwenyewe, sasa wakati umefika, nimeahidi Yesu na nyinginezo za kwaya za katoliki.

#sautitamu #kwayakatoliki #sautizakuimba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке