Biashara ya ngono yashamiri Tabora, serikali yaombwa kuingilia kati

Описание к видео Biashara ya ngono yashamiri Tabora, serikali yaombwa kuingilia kati

Serikali ya Mkoa wa Tabora imetangaza dhamira yake ya kuwadhibiti wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili ambayo katika siku za hivi karibuni imeshika kasi na kusababisha bughudha kwa wananchi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке