KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA FRIDAY PRAYERS (THE SCHOOL OF HEALING ) 20/ 09/ 2024

Описание к видео KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA FRIDAY PRAYERS (THE SCHOOL OF HEALING ) 20/ 09/ 2024

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA FRIDAY PRAYERS (THE SCHOOL OF HEALING ) 20/ 09/ 2024

UJUMBE WA LEO: "KUAMSHWA MASIKIO YA NDANI"

Waamuzi 6 : 11 - 14
Isaya 50 : 4

"KUAMSHWA MASIKIO YA NDANI"

Waamuzi 6 : 11 - 14

11 Malaika wa Bwana akaenda akaketi chini ya mwaloni uliokuwa katika Ofra, uliokuwa mali yake Yoashi, Mwabiezeri; na mwanawe Gideoni alikuwa akipepeta ngano ndani ya shinikizo, ili kuificha machoni pa Wamidiani.

12 Malaika wa Bwana akamtokea, akamwambia, Bwana yu pamoja nawe, Ee shujaa.

13 Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa Bwana yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye Bwana, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani.

14 Bwana akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?

Isaya 50 : 4

4 Bwana MUNGU amenipa ulimi wa hao wafundishwao, nipate kujua jinsi ya kumtegemeza kwa maneno yeye aliyechoka, huniamsha asubuhi baada ya asubuhi; huniamsha, sikio langu lipate kusikia kama watu wafundishwao.

1. KUOMBA TOBA KWA KUZIFUATA SAUTI ZA DUNIA

2. KUACHILIA DAMU YA YESU KWENYE MASIKIO YAKO.

3. KUMUOMBA MUNGU AYAAMSHE MASIKIO YA NDANI.


Mhubiri: Mwl. Amani Mringo.

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке