TDC SIDO ARUSHA

Описание к видео TDC SIDO ARUSHA

Zijue huduma za SIDO na Teknolojia mbalimbali zinazotolewa na Kituo cha Kuendeleza Teknolojia (TDC) SIDO - Arusha.
Kwa nini uhangaike kuagiza mashine toka nje wakati zote unaweza kuzipata kutoka SIDO?
Zipo mashine za mbao; kusindika nafaka. karanga, viungo; kufyetua matofali na paving, kukatakata nyama, kutengeneza juisi za miwa n.k

Комментарии

Информация по комментариям в разработке