Ruto ateuwa mawaziri 11 | Kindiki, Duale, Wahome, Soipan na Chirchir warejea tena

Описание к видео Ruto ateuwa mawaziri 11 | Kindiki, Duale, Wahome, Soipan na Chirchir warejea tena

Rais William Ruto amewapendekeza mawaziri 11 katika baraza lake jipya la mawaziri huku akiwarejesha mawaziri sita waliotimuliwa. Profesa Kithure Kindiki atahudumu katika wizara ya usalama huku Aden Duale akirejea kwenye wizara ya ulinzi iwapo bunge litawaidhinisha

Комментарии

Информация по комментариям в разработке