Mashahidi waeleza Mahakamani Manji alivyopimwa Mkojo

Описание к видео Mashahidi waeleza Mahakamani Manji alivyopimwa Mkojo

Leo August 22, 2017 Mashahidi wawili akiwemo Naibu Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Ofisa wa Polisi, Ramadhan Kingai wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Mfanyabiashara Yusuf Manji alivyopelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке