BREAKING: Mahakama imemuachia huru Yusuf Manji kesi ya dawa za kulevya

Описание к видео BREAKING: Mahakama imemuachia huru Yusuf Manji kesi ya dawa za kulevya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya kutumia dawa za kulevya baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa hilo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке