KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - 14 SEPTEMBA 2023

Описание к видео KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - 14 SEPTEMBA 2023

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA EVENING GLORY - 14 SEPTEMBA 2023

UJUMBE WA LEO: MISINGI YA KUTAFUTA NA KUPATA

C. NEEMA YA MUNGU INATUPATANISHA NA WATU WA BARAKA


Wagalatia 2 : 9

9 tena walipokwisha kuijua ile neema niliyopewa; Yakobo, na Kefa, na Yohana, wenye sifa kuwa ni nguzo, walinipa mimi na Barnaba mkono wa kuume wa shirika; ili sisi tuende kwa Mataifa, na wao waende kwa watu wa tohara;

D. NEEMA YA MUNGU INATUPA RIZIKI

2 Wakorintho 9 : 8

8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

E. NEEMA YA MUNGU INATUTUA MIZIGO


Hesabu 11 : 11

11 Musa akamwambia Bwana, Mbona umenitenda uovu mimi mtumishi wako? Kwa nini sikupata neema machoni pako, hata ukanitwika mzigo wa watu hawa wote juu yangu?

F. NEEMA YA MUNGU INATUPA KUTUMIKA

Mwanzo 39 : 4

4 Yusufu akaona neema machoni pake, akamtumikia. Naye akamweka awe msimamizi juu ya nyumba yake, na yote yaliyomo akayaweka mkononi mwake.




Mhubiri : Mwl. Musa Musa.

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке