Ndaro, Steve Mweusi walivyoondoka na kijiji chao - Uzinduzi CHEKA Plus TV

Описание к видео Ndaro, Steve Mweusi walivyoondoka na kijiji chao - Uzinduzi CHEKA Plus TV

UZINDIZI WA @chekaplustv CH 414: Huyu hapa @ndaro__ aliyeamua kuondoka na mbavu za watu usiku kwenye uzinduzi wa chaneli mpya ya Cheka Plus TV inayopatikana kwenye #AzamTV pekee kwa kifurushi cha shilingi 17,000/= tu mwezi au 6,000/= kwa wiki.

Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz

#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus

Комментарии

Информация по комментариям в разработке