Najiita Msegeju: Sehemu ya pili, Safari ya Chongoleani

Описание к видео Najiita Msegeju: Sehemu ya pili, Safari ya Chongoleani

Katika sehemu ya pili tunamwona Babu Ali akielekea Chongoleani kutaka kujua zaidi kuhusu hawa Wasegeju ni kina nani na lugha yao ikowapi? Huku Chongoleani alikutana na wazee kama yeye na badala ya kupata majibu alikumbana na maswali mengi na mitihani. Jee haya maswala ni yepi? Na Jee Babu atapata alitakalo Chongoleani?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке