MDUMANGE, Ngoma ya Asili ya Kabila la Wasambaa kutoka Kicheba, Muheza. Mdumange Dance

Описание к видео MDUMANGE, Ngoma ya Asili ya Kabila la Wasambaa kutoka Kicheba, Muheza. Mdumange Dance

#Ngoma #Tanzania #Tanga #Travel #HodiAfrika #travelblogger #BAFIMA

Katika filamu hii fupi tunafuatilia historia ya kikundi cha Mdumange kinachojulikana kama cha Kihiyo hapo Kicheba, wilaya ya Muheza. Kihiyo, kiongozi wa kikundi hichi cha ngoma anatupeleka mbali sana kuhusu mwanzo wa ngoma hii na kikundi chao. Zaidi ya hapo tunaona umahiri wa upigaji ngoma na utungaji mashairi na jinsi gani ngoma hii imejenga undugu na fahari ya kuwa mwanachama wa Kihiyo na kuwa Msambaa.



English: In this short documentary, we follow the Mdumange dance group from Kicheba village in the beautiful Usambara mountains. We hear about the history of mdumange and the dance group from Kihiyo, the founder of the group. Through interviews and scenes of different performance we witness how this dance has forged a common identity and create a pride of being a member of the Kihiyo group and Msambaa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке