Najiita Msegeju: Sehemu ya Kwanza

Описание к видео Najiita Msegeju: Sehemu ya Kwanza

Wasegeju ni kina nani? Jee kuna kabila kama Wasegeju ama ni pande la Wadigo? Katika kisa hichi Mzee Ali Suwaka anakumabana na maswali haya na kujaribu kupata undani. Tokea amezaliwa aliitwa Msegeju na alijitambua hivyo lakini katika uzee wake watu wakaaanza kumhoji utambulisho wake. Mfuate Mzee Ali katika uchunguzi huu tokea kijijini Mnyanjani mpaka kwenye vijijini vya mlimani kama Bwiti huko Usambaani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке