Watu 7 wamejeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana Mombasa

Описание к видео Watu 7 wamejeruhiwa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana Mombasa

Watu 7 wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na kukatwa katwa katika mitaa ya maweni, kongwea na vok eneo bunge la nyali kaunti ya mombasa. Shambulizi hili limezua taharuki mjini mombasa lakini kamanda wa polisi ukanda wa pwani rashid yakub amedai kuwa usalama umeimarishwa na tayari washukiwa 3 wametiwa mbaroni. Francis mtalaki anaarifu kutoka Mombasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке