DADA wa RUGE Asimulia BABA Yao ANAVYOTESEKA Akiona KABURI la RUGE....

Описание к видео DADA wa RUGE Asimulia BABA Yao ANAVYOTESEKA Akiona KABURI la RUGE....

DADA wa RUGE Asimulia BABA Yao ANAVYOTESEKA Akiona KABURI la RUGE....

February 26 mwaka jana Tanzania ilijawa na simanzi baada ya kuondokewa na Mtu aliyekuwa muhimu sana katika serikali, jamii na aliyekuwa na mchango mkubwa sana katika kukuza sana sanaa nchini, Huyu ni Ruge Mutahaba, Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media...

Mwishoni mwa wiki jana familia ya Ruge ilifanya ibada ya shukrani ikiwa ni mwaka mmoja umekatika sasa tangu kuondokewa na mpendwa wao huyo, na hapa dada wa marehemu Koku Mutahaba anaelezea hali ilivyo sasa tangu wapate pengo la Ruge katika familia.

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]

HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua

GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio

EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке