Book Hunting in Dar es Salaam with Big Bad Wolf Books

Описание к видео Book Hunting in Dar es Salaam with Big Bad Wolf Books

Hey good people! Mambo vipi?

So jana tulienda kwenye sale ya vitabu kubwa duniani ya Big Bad Wolf books ambao kwa mara ya kwanza wamekuja Africa na wameanzia hapa Tanzania 🇹🇿🇹🇿

Nimependa kwamba lengo Lao kubwa ni kuhakikisha watu wanapata vitabu kwa urahisi na kwa gharama nafuu. Lakini pia wana lengo la kukuza utamaduni wa kujisomea.

Watakuwepo Diamond Jubilee mpaka tarehe 18 mwezi huu.

Kama ni mpenzi wa kusoma basi watembelee. Vitabu ni bei rahisi sana sana!
.
.
#bigbadwolfbooks
#booksandmorebooks

Комментарии

Информация по комментариям в разработке