Silaa afunguka Wabunge zaidi ya 30, Manaibu Waziri 6, na Waziri kupigwa ardhi Dodoma

Описание к видео Silaa afunguka Wabunge zaidi ya 30, Manaibu Waziri 6, na Waziri kupigwa ardhi Dodoma

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema Wabunge zaidi ya 30, Manaibu Waziri 6, Waziri mmoja na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ni miongoni mwa waathirika wa migogoro ya ardhi iliyosababishwa na baadhi ya watumishi wa ardhi kwenye jiji la Dodoma.

Silaa ameyasema hayo wakati akihitimisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Jumatatu, Mei 27, 2024 jijini Dodoma.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке