"Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"

Описание к видео "Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"

Leo February 14 2017 Kamishna wa Idara ya uhamiaji mkoa wa Dar es salaam, John Msumule amekutana na waandishi wa habari na kueleza kuwa wanamuhitaji mfanyaabiashara Yusuph Manji o kwenye ofisi hizo baada ya kutoka Hospitali kwa kile alichodai ni kuajiri wafanyakazi kutoka nje wasio na vibali.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке