Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga

Описание к видео Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa ya kulevya, wakiwemo Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Elikael Mbowe, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Askofu Josephat Gwajima na Mbunge Mstaafu wa Kinondoni, Idd Azzan

Комментарии

Информация по комментариям в разработке