BASHUNGWA AYAGEUKIA MAKAMPUNI YA UJENZI YANAYOBABAISHA WATEJA WAO

Описание к видео BASHUNGWA AYAGEUKIA MAKAMPUNI YA UJENZI YANAYOBABAISHA WATEJA WAO

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya Makandarasi wengine nchini.

Bashungwa ametoa onyo hilo, leo Septemba 04, 2024 jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali kujadili masuala ya mazingira katika utekelezaji wa miundombinu nchini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке