TAARIFA ZA MSEMAJI || TBPL MBIONI KUZINDUA VIUATILIFU

Описание к видео TAARIFA ZA MSEMAJI || TBPL MBIONI KUZINDUA VIUATILIFU

Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), cha kibaha - Pwani wazalishaji wa bidhaa za kibaiolojia wapo mbioni kuzindua bidhaa mpya ya kibaiolojia ya kupambana na wadudu dhurifu kwenye mazao aina ya Thurisave - 24.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке