KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL

Описание к видео KENYA WAKUBALI HARAKATI ZA TANZANIA || YANUNUA VIUADUDU KUTOKA TBPL

Serikali ya Kenya imenunua viuadudu vya kuangamiza mazalia ya mbu kutoka kiwanda cha Serikali, Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), katika harakati zake za kupambana na ugonjwa wa malaria na magonjwa mengine yanayo enezwa na mbu kama dengue, chikungunya, matende na mabusha.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке