Sio kila Mtanzania🇹🇿 hapa USA 🇺🇸 ni mbeba boksi. Hawa wanafanya nini?

Описание к видео Sio kila Mtanzania🇹🇿 hapa USA 🇺🇸 ni mbeba boksi. Hawa wanafanya nini?

Hawa ni baadhi ya Watanzania waliopo USA kwa kuanzia miaka 15 hadi 43. Wanafanya nini kipindi chote hicho?

#ebmscholars #ebmswahili #ughaibuni

Комментарии

Информация по комментариям в разработке