Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?

  • Dr. Mwanyika
  • 2021-03-07
  • 71383
Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?
  • ok logo

Скачать Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?

Mambo yanayopelekea kupata Muwasho katika Ujauzito wako ni kama ya fuatayo;

Mimba inaweza kusababisha ukapata Muwasho kutokana na sababu kuu mbili;

1. Mabadiliko ya Homoni wakati Ujauzito.

2. Ongezeko la Tumbo wakati wa Ujauzito hususani kwenye Mimba ya kwanza au Mimba ya Mapacha.

Pamoja na hizo sababu lakini kuna Makundi makuu matatu yanayopelekea kupata Muwasho wa ngozi katika Ujauzito ambayo ni.


A. Kundi la kwanza ni Mtindo wa Maisha ya Mjamzito kama.

I. Kuvaa Nguo zinazobana ktk kipindi cha Ujauzito.

II. Kuvaa Nguo zisizo tengenezwa na Pamba.

III. Kuoga Maji ya Moto.

IV. Kutumia Sabuni na Perfume zinazo pelekea muwasho katika Ujauzito.

V.Ngozi ya Tumbo kukauka na kuvutika.

NB:Endapo una dalili tajwa hapo juu na unatabia hizo tajwa unachotakiwa kufanya ni kuchana na tabia hatarishi na pia unaweza kutumia MAFUTA YA NAZI AU CALAMINE LOTION.

B.Kundi la pili ni kuhusiana na Magonjwa ya Ngozi katka Ujauzito!
Mfano: Pruritic Urticaria Papules na Plaques vile Prurigo, hapa unahitaji kuonana na Daktari Bingwa wa Ngozi.

C. Endapo upo katika Kundi hili la tatu ni hatari sana unahitaji kuonana na Daktari bingwa na kutazamwa kwa Ujirani zaidi kwa sababu huweza kuathiri Afya ya Mtoto na Mama pia hii ni kutokana na shida iitwayo Intrahepatic Cholestasis of Pregnancy (ICP). Katika kundi hili Mama huwa na dalili zifuatazo.

Kuwashwa kwenye viganja vya Mikono au Miguuni.
Muwasho huwa zaidi kipindi cha jioni/usiku.
Kuwa na historia ya kuwa na dalili hizo katika baadhi ya ndugu katika ukoo husika.
Kupata Choo cheupe.
Kupata Mkojo mweusi na nk.

NB; Uonapo dalili hizo wahi hospital kuonana na Daktari.

Je muwasho ktk Ujauzito husababishwa na nini? Bonyeza link hii ili kujifunza zaidi    • Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya ...  


Mtoto huanza kucheza tumboni mwa Mama Mjamzito miezi mingapi??? Bonyeza link hii ili kujifunza zaidi
   • Mtoto huanza kucheza tumboni mwa Mama Mjam...  

Ufanye nini ili kuondokana na upungufu wa Damu katka kipindi cha Ujauzito??. Bonyeza link hapa.
   • Ufanye nini ili uondokane na Upungufu wa D...  

Je Mjamzito hujifungua wiki ya ngapi na wakati gani Uchungu huweza kuanza na salama zaidi?
Bonyeza link hii kusikiliza.
   • Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia w...  


NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  


Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#Muwasho
#DrMwanyika

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    7 часов назад
  • Zanzibar kuchukua hatua za kisheria kwa meli iliyopatwa na dawa za kulevya, katika Dira ya Dunia TV
    Zanzibar kuchukua hatua za kisheria kwa meli iliyopatwa na dawa za kulevya, katika Dira ya Dunia TV
    Трансляция закончилась 6 часов назад
  • Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    3 года назад
  • Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    Dalili za uchungu kwa Mjamzito | Ni zipi dalili za uchungu kwa Mama Mjamzito??
    5 лет назад
  • Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???
    Je ni Uzito kiasi gani Mjamzito anatakiwa kuongezeka kutoka mwanzo wa Ujauzito mpaka kujifungua???
    4 года назад
  • Je ni Mambo gani hupelekea Mistari /Michirizi katika Tumbo la Mjamzito katika kipindi Cha Ujauzito?
    Je ni Mambo gani hupelekea Mistari /Michirizi katika Tumbo la Mjamzito katika kipindi Cha Ujauzito?
    4 года назад
  • BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    BINTI YANGU Full episode [ 113 ] #love
    11 часов назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    3 года назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    4 месяца назад
  • Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    4 года назад
  • Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
    Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
    3 года назад
  • Fangasi za ukeni wakati wa Ujauzito | Dalili na Mambo ya kujua kuhusiana na fangasi katika Ujauzito!
    Fangasi za ukeni wakati wa Ujauzito | Dalili na Mambo ya kujua kuhusiana na fangasi katika Ujauzito!
    5 лет назад
  • Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?)
    Je Mtoto Kucheza Tumboni Kushoto NA Kulia NI Mapacha?? (Mtoto Kucheza Tumboni Miezi Mingapi?)
    3 года назад
  • JE UNAWASHWA MWILI KILA UKITOKA KUOGA????.......PUMU YA NGOZI
    JE UNAWASHWA MWILI KILA UKITOKA KUOGA????.......PUMU YA NGOZI
    1 год назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    4 года назад
  • Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!
    Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!
    1 год назад
  • MATHNA{UKEWENZA} full movie
    MATHNA{UKEWENZA} full movie
    1 год назад
  • Dalili za Mimba ya miezi sita (6) | Dalili za Mimba / Ujauzito wa Miezi Sita!
    Dalili za Mimba ya miezi sita (6) | Dalili za Mimba / Ujauzito wa Miezi Sita!
    5 лет назад
  • Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?
    Mjamzito kukosa Usingizi | Insomnia, Kwa nini Mjamzito hukosa Usingizi?
    5 лет назад
  • JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?.
    JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?.
    3 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com